Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • Sasa wakati umefika wa kushika nilicho nacho
    Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
    Sasa wakati umefika kwenda mbele za Mungu wangu
    Aone nilivyoandaa zawadi ya leo
    Nitamwambia Bwana pokea, hiki kidogo nilicho nacho
    Kwani Mungu wewe wanijua, mimi siwezi hata kueleza
    Nakusihi sana Baba unipokee
    Nigawie na baraka niwe salama
    Tazama anayekula mwili wako na nijaposema kwa lugha
    #SautiTamu #kwayakatoliki #Zilipendwa
    subscribe channel hii kwani nyingi zaja.
    Fuatilia pia channel ya Rajo Production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions kupata nyimbo nyingine za kwaya Katoliki Afrika Mashariki zikiwemo mimina neema maneno matamu wimbo ulio bora Bwana unibadili na neema ya Mungu.
    Nyimbo nyingine za sadaka zinazojulikana sana ni uzipokee sadaka, nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe Baba, Sadaka yangu kwako ee Mungu, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, sasa ndio wakati, na Beba mikononi
    sasa wakati umefika catholic song

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @onesmusnjoroge5247
    @onesmusnjoroge5247 4 года назад +221

    Am here after seeing magufuli assisting church offering collections..We have lost a strong pillar of faith.😢😢😢

  • @alexmutua9159
    @alexmutua9159 Год назад +185

    Kama kuna mwenye anasikiliza huu wimbo 2024 kuja tujuane kwa likes❤❤

  • @oleshira
    @oleshira 3 года назад +16

    Nigawie Na Baraka Niwe Salama.

  • @NyampingaJoseline
    @NyampingaJoseline Год назад +8

    Hiii nyimbo inanikumbusha Tanzania

  • @yoanfenty5425
    @yoanfenty5425 4 года назад +104

    Kama ukiusikia uu wimbo kanisani wakati wa sadaka unachangamka gonga like twende sambamba

  • @890_Mickey
    @890_Mickey 2 месяца назад +19

    Nipee likes za 2025🎉🎉this is a year of blessings ❤

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 8 дней назад +2

    Naimba nyimbo hii leo tarehe 6/4/2025 asubuhi ya saa 12 nikimuuliza mungu nimpe nn kwa kunifanikisha kuiona siku ya leo yenye mfanano wa cku yangu ya kuzaliwa😢 huku tukisubiri majuma machache kusubiri mateso ya bwana wetu yesu kristo Kisha kifo na KUFUFUKA KWAKE🍾nawatakia mfungo mwema wa kwaresma ndugu zangu wakristo na pasaka njema🙌🇹🇿

  • @imamrema1880
    @imamrema1880 4 года назад +90

    Hiii nyimbo inanikumbusha mh magufili alikuwa anakusanya sadaka mungu alaze mahala pema peponi 🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +2

      Amina

    • @TonnyCaesar
      @TonnyCaesar 2 года назад +4

      Huu msiba hautatuisha milele

    • @Gregory_Simtitu
      @Gregory_Simtitu 2 года назад +3

      Kabisa, alikusanya sadaka na wakati wimbo huu unaimbwa. Hapo ndipo nami nilipoutafuta huku. Apumzike kwa amani.

    • @christercyprian6318
      @christercyprian6318 2 года назад +3

      Kabisa na mm inanikumbusha JPM.Apumzike kwa Aman🙏

    • @kimaitabenson8326
      @kimaitabenson8326 Год назад +1

      @@TonnyCaesar
      .!

  • @azairweaurelia8097
    @azairweaurelia8097 2 года назад +2

    Mubarikiwe Sana wapenzi

  • @steveronoh87
    @steveronoh87 4 года назад +8

    Munywoki...kazi nzuri kaka. Barikiwa

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 года назад +21

    Tunakuomba Mungu Baba umpokee Raisi wetu John Pombe Magufuli umuweke pamoja na watakatifu wako milele yote!

  • @mohamedrashidy9893
    @mohamedrashidy9893 4 года назад +19

    Dada mimi ni muislam lakini hii nyimbo imeniingia sna kwakwel dada

  • @damariskaanirushadrack9894
    @damariskaanirushadrack9894 17 дней назад +1

    Catholics songs the best

  • @irenemwangi2380
    @irenemwangi2380 Месяц назад +4

    This song blessed me during the night vigil At Vincentian retreat center on February 28th .....2025 what a night it was....

    • @MoreenKagendo-y6w
      @MoreenKagendo-y6w Месяц назад

      Glory to God

    • @irenemwangi2380
      @irenemwangi2380 Месяц назад

      @MoreenKagendo-y6w am so relieved it was my first time and the song spoke to me

    • @irenemwangi2380
      @irenemwangi2380 Месяц назад

      ​@@MoreenKagendo-y6wlet's plan to attend the next night vigil

  • @daggiezz8405
    @daggiezz8405 9 месяцев назад +5

    sasa wakati umefika ..........................kama uko uku bado 2024🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊

  • @mariejeanneMunema
    @mariejeanneMunema 7 месяцев назад +6

    Na wa penda saana wa tungaji wa nyimbo za kanisa letu takatifu kwani, ninapo, sikia nyimbo nzuri kama iZi,nimejazwa na furaha na imani tele ya kufa mu christu ❤❤❤🎉

  • @carolimathias1149
    @carolimathias1149 Месяц назад +1

    Sasa wakati umefika 🙏🙏👏 wakushika nilicho nacho 😊

  • @thobiasgairi
    @thobiasgairi Год назад +10

    Nausikiriza huu wimbo kwa makini

  • @immaculatekutto2121
    @immaculatekutto2121 2 года назад +5

    Mwenyezi mungu Awabariki wanakwaya.naipenda sna hii nyimbo ya Sadaka, nawa Shukuru sna 🤲 I'm happy to hear that thanks so much I'm Watching live from Saudi Arabia 🇸🇦🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏👌💓🙌🙌🙌🙌🙌

  • @labanitobkala620
    @labanitobkala620 3 года назад +19

    Ain't a Roman Catholic church member but there songs do bless me alot may God bless the Roman Catholic church over the world

  • @collinsrvssian
    @collinsrvssian 2 месяца назад +1

    Reminds of my high school days at St Joseph’s Boys Kitale. Holy mass every day of the week. Memories 😢

  • @felixnyakurora5474
    @felixnyakurora5474 3 года назад +3

    Hongereni saana na Mbarikiwe saana wimbo ni mzuri saana sadaka hapo lazima utoe yote🙄🤣 kazi nzuri ya kumsifu Mungu Mungu awabariki saana🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Hakika😀😀sadaka lazima.
      Asante na ubarikiwe

  • @JohnDommy-n6j
    @JohnDommy-n6j Месяц назад

    Huu wimbo nikiusikia uniodilea stress kabisa,,najihisi mwepesi kabisaa

  • @CaroLina-qq1hl
    @CaroLina-qq1hl 4 года назад +45

    Sauti za kumtoa nyoka pangoni 😍😍...all the way from Doha,Qatar
    I never get tired watching catholic songs..reminds me of my childhood upbringing in a catholic foundation

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 Год назад +1

    Song safi kabisa . Waimbaji wa nyimbo za injili msikubari kurudi nyuma Kama shetani maana yeye alikua wakwanza kuimba Ila ikarudi nyuma . Tumshinde shetani Mungu atusaidie Sana 🙏

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 года назад +14

    Sasa wakati umefika kwawema niende kwa Mungu nitowe zawadi Asante Sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @LucyKimario-r9k
    @LucyKimario-r9k 14 дней назад

    Najivunia kuwa mkatoliki maana sio kwaamami hii kila nisikiapo nyimbo zenyeujumbe mzuri

  • @fayamina2560
    @fayamina2560 4 года назад +10

    Hongera sana Munywoki na team Sauti Tamu. Hii ni safi sana👏👏👏👏 nasikiliza over n over

  • @joelsum8589
    @joelsum8589 4 года назад +2

    Hongereni sana mungu hawabariki nyakati sote

  • @felixotieno255
    @felixotieno255 4 года назад +30

    Wimbo umepikwa, ikapikika. May the Lord continue to use you as His instrument, Munywoki.

  • @karolnikolaus2473
    @karolnikolaus2473 3 года назад +2

    Nyimbo nzur

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 2 года назад +4

    Mbarikiwe sana na Mungu wakatoliki wenzangu! We are always together 🙏✝️

  • @Demarche387
    @Demarche387 22 дня назад

    Nitamwambia bwana pokea, kidogo niliconaco❤❤

  • @doreenandcollins3435
    @doreenandcollins3435 4 года назад +14

    Mungu aende Lee kuwapa nguvu za kumtumikia na sauti nyororo za kumsifu😘🙏🌹🌹

  • @MartaMwenebonjwa
    @MartaMwenebonjwa 9 месяцев назад

    Wimbo mzuri san huu❤❤ kazi nzuri 😊

  • @indiremoses8979
    @indiremoses8979 4 года назад +12

    Kazi nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +3

      Thank you🙏🙏🙏

    • @indiremoses8979
      @indiremoses8979 4 года назад +2

      Welcome,
      Munywoki💥, it's awesome

  • @MartaMwenebonjwa
    @MartaMwenebonjwa 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ na hipenda san kanisa yang catholic ❤❤❤

  • @davidkomba3868
    @davidkomba3868 4 года назад +9

    Kazi nzuri sanaaa

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Asante sana mkuu🙏🙏🙏

  • @marymuthoni4824
    @marymuthoni4824 7 месяцев назад +1

    This song is very sweet, very blessing very demure 🎉

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 4 года назад +4

    Huu wimbo lazima ni subscribe kwa sauti kubwa😆😅😅😅

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Amen

    • @centokadaji2933
      @centokadaji2933 4 года назад

      Ni Tamu aki am listening at work makes me miss home

    • @georgeasalla8542
      @georgeasalla8542 4 года назад +2

      Na ubarikiwe na wimbo huu milele,nakuombea nikiwa mererani Tanzania

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Amina

  • @SimionOnditi
    @SimionOnditi 7 месяцев назад +1

    Wimbo unanibariki sana tena sana. Hongera sana na muendelee pia kubarikiwa na kuinuliwa kwa vipaji hivi adimu

  • @mykheymutua
    @mykheymutua 4 года назад +48

    I am not going to download this song, instead i will replay it everyday. Lets push it to a million views by Dec. Its such a great song

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Thank you , it will reach 1M, it's peekng so fast

    • @CellphonesandCompLab
      @CellphonesandCompLab 4 года назад +1

      Bro kumbe wewe mcatho mwenzangu

    • @mykheymutua
      @mykheymutua 4 года назад

      @@CellphonesandCompLab mimi ni yule mkatho kamili

    • @emilyoteri2492
      @emilyoteri2492 3 года назад +4

      I play it over and over

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Thank you Emily

  • @ChinyemiDaniel
    @ChinyemiDaniel Год назад +1

    Kwa kweli huu wimbo nimeupenda mpaka nikiuskia mwili unasisikma❤🎉🎉

  • @noeliacharles7123
    @noeliacharles7123 4 года назад +11

    Nitamwambia Bwana pokea hiki kidogo nilicho nacho, kwani Mungu wewe wanijua mimi siwezi hata kueleza nakusihi sana Baba unipokee, nigawie na baraka niwe salama 🙏🙏🙏

  • @chirstinachiganga3315
    @chirstinachiganga3315 2 месяца назад

    Jamani hii nyimbo inanikumbusha mbali sana wakati bado nipo romani sasa ni msabato ila naupenda sana tulibalikiwa kupitia huu wimbo

  • @felistermosetifelly9851
    @felistermosetifelly9851 4 года назад +7

    Nzuri sana ya sadaka ongera.

  • @SCHOLAMBENA
    @SCHOLAMBENA 7 месяцев назад +1

    Naupenda mno🎉🎉🎉

  • @swtp9180
    @swtp9180 4 года назад +13

    Waimbaji ni wa kwaya gani

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +3

      Siyo kwaya specific ila ni alumni University of Nairobi

    • @swtp9180
      @swtp9180 4 года назад +1

      Great congratulations I like the singing

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +1

      Thank you

    • @desderytarimo4762
      @desderytarimo4762 4 года назад

      Hondera i

  • @jeremielebrel6613
    @jeremielebrel6613 Год назад +1

    Toka DRC 🇨🇩 iyi nyimbo ina pendwa sana na wakristo wa jimbo la Butembo-Beni. Mbarikiwe sana na Mungu

  • @damaclinegetuno1191
    @damaclinegetuno1191 Год назад +3

    Proud to be Catholic 🙏💯🌹🔥🔥❤️♥️

  • @PriscaLuwanda
    @PriscaLuwanda 10 месяцев назад

    Hakika ni wimb nzuri mungu awajalie❤❤❤❤

  • @katherinenyanhial5383
    @katherinenyanhial5383 3 года назад +24

    Proud to be a Catholic. May God shower his blessings upon you guys

  • @garikiganjani9163
    @garikiganjani9163 3 года назад +2

    Ahsanteni sana kwa nukuu nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад

      Shukrani Gari. Ubarikiwe

  • @mohamedrashidy9893
    @mohamedrashidy9893 4 года назад +4

    Kwakweli dada hii nyimbo nilikuwa siijui kwakweli nilikuwa naisikiliza kipande kidogo sana kipendi mh magu alivyokuwa anakusanya sadaka leo sasa nimeipta lasmi hapa nilipo naisikiliza dada hvi dada nyie niwaroma nampowap

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Shukrani kaka.
      Ubarikiwe
      Karibu Nairobi

    • @mohamedrashidy9893
      @mohamedrashidy9893 4 года назад +1

      Ooh niwakenya kumbe okay mmi tanzania

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Naam tupo Kenya ingawa tunashirikiana sana kwa ukaribu na Tz kwa mambo mengi

    • @mohamedrashidy9893
      @mohamedrashidy9893 4 года назад

      Saw dada hongereni sana na mungu amibariki sana roma nyie

  • @shupavutradersshupavu1565
    @shupavutradersshupavu1565 8 месяцев назад

    Is good song, Mungu niondele tamaa ili niweze kukushukuru

  • @kimothokioko8985
    @kimothokioko8985 4 года назад +12

    Kazi safi

  • @DariaKato-o7n
    @DariaKato-o7n 9 месяцев назад

    Pumzi na uhai ni kutoka kwa nani❤

  • @traceyvero6182
    @traceyvero6182 4 года назад +3

    Naona fahari kuabudu katoliki

  • @emmaculate661
    @emmaculate661 4 месяца назад

    Hii wimbo mbona mtu akisikiliza utoa machozi au Mimi tu❤❤😊😊😊

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 3 года назад +18

    Only legends can understand the gravity of this song so I remember a lot of the past #ProudCathoric ❤

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 года назад +1

      Thank you Prosper🙏🙏🙏

  • @NesterioTumwehe
    @NesterioTumwehe Месяц назад

    A well organized choir,thank very much
    Much love from Uganda, Mbarara Archdiocese

  • @josephinemoraa5401
    @josephinemoraa5401 3 года назад +4

    Sauti tamu kweli you make me proud to be a catholic

  • @salomemombo6071
    @salomemombo6071 Год назад +1

    Asanteni sana my sisters mmenikumbusha my lovely aunt alikuwa shujaa Wa choir at St Peter's catholic church MUMIAS, May she continue resting in peace and God judge her according to the good work she did for him

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Год назад

      May your aunty rest in peace.
      Thank you for sharing the memories

  • @esauopole
    @esauopole 4 года назад +9

    Tamu sana, mbarikiwe nyote

  • @DidierNUMBI-l5c
    @DidierNUMBI-l5c 7 месяцев назад

    Nashukuru kabisa kwa wimbo huu mtamu saaana ,Mungu asifiwe

  • @sabastiannzangi3973
    @sabastiannzangi3973 4 года назад +5

    Kazi nzuri mkuu.... Hongera sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Asante sana mkuu🙏🙏

  • @MaryWambui-fo8tl
    @MaryWambui-fo8tl 9 месяцев назад

    Hae too am here plz napenda catholic songs hongera sana aky

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 4 года назад +33

    Catholic songs never fade! Wonderful work, keep blessed!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +1

      Thank you. be blessed too

  • @ruthnjagi5387
    @ruthnjagi5387 3 года назад +2

    Huu ndio ule wimbo ambao ukiimbwa na huna sadaka unajipata hadi umefuliza ukatoe..so sweet

  • @nichuluskimanzi8320
    @nichuluskimanzi8320 4 года назад +8

    A very nice song 👍👍, keep it up

  • @KennedyMusyoka-m7j
    @KennedyMusyoka-m7j Месяц назад +1

    Nice one,,,hata kama ulikuwa umeeka za chapuu mahali unaeza toa ,,,proud to be a catholician forever

  • @AlfredOulaM
    @AlfredOulaM 4 года назад +40

    I have loved this songs from the first moment I heard it being sung by Our Lady of Guadeloupe church, Nairobi. Kudos

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +1

      Thank you, now you can listen it any time

    • @lilley6965
      @lilley6965 4 года назад +2

      This is my church .......they do a very good job.......I miss

  • @rashcedrick1468
    @rashcedrick1468 2 месяца назад

    Mungu awape kipaji kwasauti yenu mulipokuwa mukitaganza ejile yenu kwa nyimbo zuri sana

  • @morinkeedward4067
    @morinkeedward4067 3 года назад +2

    We catholic we don't disappoint. Lovely

  • @maryapiyo8891
    @maryapiyo8891 Месяц назад

    This song makes me think of high school memories, st Mary gorettys Dede girls

  • @paulcarlos2523
    @paulcarlos2523 4 года назад +17

    Another incredible work! hongereni sana kwa utume mwema. Mmenibariki sana. Neema

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Asante, ubarikiwe @Paul

  • @christianmichael5331
    @christianmichael5331 4 года назад +1

    Aisee mmeamua kurudisha nyimbo tamu kabisa #Nigawienabaraka niwe sala
    Naipenda sana nyimbo ilikuwaina hamasihsa utoaji.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Old is Gold, nyimbo za zamani tamu sana

    • @christianmichael5331
      @christianmichael5331 4 года назад +1

      Kabisa aisee Old is Gold
      Unajua pindi ukipokea kwa Mara ya kwanza unaishi ktk uwepo kutoka rohoni Daaah hii Nyimbo Tamu sana. Mbarikiwe sana sana kabisa

  • @allanwabwile1386
    @allanwabwile1386 4 года назад +8

    Kazi nzuri hii🥳🥳

  • @MBATINOFILMS
    @MBATINOFILMS 3 года назад +2

    Kwaya nzuri sana naipenda kuisikiliza mm jaman

  • @samuelawuor9911
    @samuelawuor9911 4 года назад +4

    am proud to be acatholic from kisumu kajulu kenya

  • @JoyLucy-lv4yf
    @JoyLucy-lv4yf 11 месяцев назад

    Walai wimbo mtamu xana unanifanya niburudike nkiwa nmeboeka

  • @asangostephen9122
    @asangostephen9122 4 года назад +5

    Hu wimbo wanibubujisha nafsi yangu na kuupaka moyo wangu mafuta, heko wakristo.

  • @GelasJustine
    @GelasJustine 8 месяцев назад +1

    Wuguawabariki sasa❤🎉❤

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  8 месяцев назад

      Ubarikiwe nawe pia

  • @AmbroseMailu
    @AmbroseMailu Год назад +4

    Am proud to be a Catholic 😇

  • @AbdonChengula
    @AbdonChengula Год назад +1

    Nawakubari xanaa mungu ni mwema!

  • @khisaezekiel3504
    @khisaezekiel3504 4 года назад +3

    amani iwe nanyi siku zote, nimebarikiwa

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Asante Khisa. Ubarikiwe zaidi

  • @jarednyamboga4355
    @jarednyamboga4355 3 года назад +1

    Sauti tamu kweli kweli,barikiweni sana🙏

  • @newtonmwangi3439
    @newtonmwangi3439 4 года назад +22

    Well Organised. Sauti Zote Ziko👍👌

  • @WilliamWarom
    @WilliamWarom 6 месяцев назад

    Mimi nataka kujiunga nanyi wa katiliki wenzangu lakini Niko kongo

  • @Mr.Stingy
    @Mr.Stingy 2 года назад +3

    This song reminds me of Rais Magufuli collecting offerings. Great leader he was May he continue Resting in Peace 🙏🏾

  • @kageffkakristian-ou4ro
    @kageffkakristian-ou4ro 4 месяца назад +1

    Hii ngoma hufanya mtu atoe adi ATM😂🙏🙏

  • @magdalinenekesa8550
    @magdalinenekesa8550 4 года назад +5

    Mbarikiwe sana na mungu huu wimbo.

  • @kevinsimiyu6201
    @kevinsimiyu6201 2 года назад +1

    Wee iyo song waah tamu sana mbarikiwe sana🙏

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema 4 года назад +3

    Kazi nzuri sana Martin... May the good Lord bless your good work. May He bless you beyond your imagination. Nakupenda.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +1

      Asante sana Miss Anne. Hongera kwa kuimba vizuri, na kubariki wengi kwa sauti yako tamu

  • @OsimundaDuwe
    @OsimundaDuwe Год назад +1

    Hongeren sana wapendwa

  • @linetnato4199
    @linetnato4199 4 года назад +4

    Hey! This song can make you bankrupt I say 😄😄nakumbuka Enzi zile za utotoni,, nway nice one

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад +1

      😀😁😀😂 thank you Linet, usiende bankrupt

    • @linetnato4199
      @linetnato4199 4 года назад +1

      @@SautiTamu 😂😂😂😂yaani unaenda ukitoa, ukirudi ukitoa, rebounce 🤣🤣, nway God bless you abundantly guyz🙏🏿🙏🏿🙏🏿 💖💖💖

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      😂😂Be blessed too Linet. We look forward to doing more beautiful pieces like this

    • @linetnato4199
      @linetnato4199 4 года назад

      @@SautiTamu will be joining you aki,, nway all the best sweethearts😍😍

  • @otungalarry951
    @otungalarry951 2 года назад +2

    Proud of my Catholic faith ❤️...Tumsifu Yesu kristu...?Amina 🙏

  • @elizabethkatikiro5148
    @elizabethkatikiro5148 4 года назад +5

    Hongereni Sana wimbo mtamu umenikumbusha mbali sana♥️♥️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 года назад

      Asante sana Elizabeth🙏🙏

  • @DorothyKimathi-w7r
    @DorothyKimathi-w7r 6 месяцев назад

    Nice song baraka ziwafikie wafuata mungu wote

  • @almasibet638
    @almasibet638 4 года назад +15

    I am very happy...the spirit of ICC is well and truly alive ..keep up Munywoki and dear choristers.